Sunday, December 7, 2025
27 °c
Dar es Salaam
25 ° Thu
25 ° Fri
25 ° Sat
25 ° Sun
25 ° Mon
English English Kiswahili Kiswahili
UMG
  • Mwanzo
  • UMG
  • Siasa
    • All
    • Business
    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    SHIRIKA LA OMUKA HUB NA NDI WAANDAA MAJADILIANO YA JUKWAA LA WANAWAKE KATIKA SIASA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    WAZIRI JAFO ATETA NA WAKUU WA MIKOA

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU MWENYEKITI UVCCM AWAJIA JUU WANAOWACHAFUA VIONGOZI

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    MAKAMU WA RAIS DK. PHILIP MPANGO AKIONDOKA NCHINI ANGOLA

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    FORBES YAMTAJA TENA RAIS SAMIA.. “NI MIONGONI MWA WANAWAKE 100 WENYE UWEZO MKUBWA DUNIANI”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • Biashara
    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA NJOMBE

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    SHERIA YA LOCAL CONTENT INAVYONUFAISHA WAWEKEZAJI WAZAWA GGML

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • Burudani
    • All
    • Sports
    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    YANGA YAMNYATIA ABIALA KUTOKA CONGO DR

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

    SIMBA YAICHAPA KAGERA SUGAR 3-0

  • Michezo
    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    SERIKALI YAAHIDI KUWAPELEKA MASHABIKI WA YANGA AFRIKA KUSINI

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    YANGA SC YAACHANA NA MOLOKO

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    TFF YAUFUNGIA UWANJA WA UHURU

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    BENCHIKHA; MCHEZO WA KESHO UTACHORA RAMANI KUELEKEA LIGI YA MABINGWA AFRIKA DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

    Trending Tags

    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • MAGAZETI
    • UELEKEO
  • UMG DIGITAL
  • UELEKEO DIGITAL
    • Instagram
    • Facebook
    • Twitter
    • Youtube
  • English English
  • Kiswahili Kiswahili

No Result
View All Result
UMG
No Result
View All Result
Mwanzo Habari Kitaifa

WALIOSABABISHA MADHARA YA CHANJO KWA MIFUGO WASAKWA

admin by admin
September 1, 2021
in Habari Kitaifa
0 0
0
WALIOSABABISHA MADHARA YA CHANJO KWA MIFUGO WASAKWA

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki, akikagua eneo lenye kidonda baada ya ng’ombe kuchonjwa chanjo ya Homa ya Mapafu (CBPP) kwenye mguu.

0
SHARES
92
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki, ameagiza kutafutwa mara moja kwa wataalamu wa mifugo waliotoa chanjo ya mifugo katika Kijiji cha Mlazo Kilichopo Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma, na kusababisha baadhi ya mifugo kufa na mingine kupata madhara, kufikishwa kwa Baraza la Veterinari Tanzania kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Waziri Ndaki amebainisha hayo (31.08.2021) alipofika katika Kijiji hicho baada ya kupatiwa taarifa juu ya madhara yaliyojitokeza baada ya mifugo hiyo kupatiwa chanjo ya Homa ya Mapafu (CBPP) na kusababisha vifo 25 vya Ng’ombe, 33 walitoa mimba na waliovimba sehemu waliyochomwa sindano 58, kwa upande wa mbuzi alikufa mmoja, waliovimba watano, waliotoa mimba 12 na upande wa kondoo waliokufa 20, waliovimba 16 na waliotoa mimba watano.

Kufuatia hali hiyo na kushuhudia baadhi ya ng’ombe waliopata madhara, Waziri Ndaki amesema zoezi la chanjo ya mifugo dhidi ya magonjwa linaloendelea nchini lina lengo zuri, lakini amesikitishwa na zoezi lililofanywa katika Kijiji hicho cha Mlazo kwa kuwa halikufanywa kwa kuzingatia kanuni za kitaalamu na kuagiza pia Kampuni ya Agristeps Limited iliyoingia mkataba na Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwa ajili ya kusimamia zoezi la utoaji chanjo, kuzuiwa kuendelea kutoa chanjo katika wilaya hiyo na kufikishwa kwa Baraza la Veterinari Tanzania kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

“Wale wataalamu waliochanja ng’ombe wa hawa wafugaji, watafutwe majina yao, wamesomea wapi, wapelekwe kwa Msajili wa Baraza la Veterinari Tanzania hatuwezi kuendelea kuua ng’ombe namna hii, hii kampuni ilitakiwa ijiridhishe na utaratibu na mchakato mzima wa uchomaji wa chanjo kwa kuwa amefanya kazi hii hapa kuwa mbovu asimame kuendelea kutoa chanjo kwenye Wilaya ya Chamwino tafuteni mwingine.” Ndaki akiuarifu uongozi wa wilaya.

VIDONDA na uvimbe unavyoonekana kwa baadhi ya ng’ombe waliochomwa chanjo ya Homa ya Mapafu (CBPP) katika Kijiji cha Mlazo kilichopo Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma

Aidha, Waziri Ndaki amezitaka halmashauri zote nchini kuhakikisha watoa huduma walioingia nao mikataba ya utoaji chanjo za mifugo dhidi ya magonjwa 13 ya kimkakati, yanafuata taratibu za utoaji wa chanjo zinaoendelea kutolewa kote nchini kwa kuwa wizara ilishatoa mwongozo wa utoaji chanjo.

Kuhusu mifugo inayopata madhara na mingine kufa wakati wa utoaji chanjo kutokana na sababu mbalimbali, Waziri Ndaki amesema kuna haja ya kubadilisha Sheria ya Veterinari ya Mwaka 2003 na Sheria ya Magonjwa ya Wanyama ya Mwaka 2003 ili endapo mifugo ikipata madhara yoyote mfugaji aweze kufidiwa mifugo hiyo.

Pia, ameutaka uongozi wa Wilaya ya Chamwino kutoendelea kutoa chanjo katika Kijiji cha Mlazo hadi wataalamu watakapotoa elimu ya kutosha kwa wafugaji hao kwa kuwa kwa sasa wamekosa imani kutokana na watu wachache walioendesha vibaya zoezi hilo lililosababisha madhara kwa mifugo kufa na mingine kupata madhara mbalimbali.

Akizungumza na wafugaji katika Kijiji cha Mlazo, Waziri Ndaki amesikitishwa pia na malalamiko kutoka kwa wafugaji hao kuwa zoezi hilo la utoaji chanjo kwa mifugo lilienda sambamba na ulipaji wa faini kwa mifugo ambayo inaelezwa haikupelekwa kupata chanjo na kutolewa stakabadhi ambazo siyo za kieletroniki na wengine kulipa faini bila kupatiwa stakabadhi.

Kutokana na suala hilo amewaonya watu wanaotumia kigezo cha wafugaji kuwa chanzo cha mapato yao binafsi kwa kuwalipisha faini zisizo halali na kuelekeza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Wilaya ya Chamwino kusimamia suala hilo kabla hajalipeleka katika ngazi ya juu zaidi.

“Hili suala la nyinyi wafugaji tunalipeleka TAKUKURU na kama hakuna kinachotokea tutatafuta TAKUKURU iliyo juu ya TAKUKURU hatuwezi kuwa na TAKUKURU ya Chamwino inakuja kuchunguza inaondoka moja kwa moja na ushahidi uko hapa serikali kwa sasa inatumia risiti za kieletroniki siyo za kuandika kwa mkono na pesa zote hizi wanatozwa wafugaji.” Amebainisha Waziri Ndaki

Akizungumzia juu ya utaratibu wa utoaji wa chanjo ya mifugo dhidi ya ugonjwa wa Homa ya Mapafu (CBPP) iliyoleta madhara kwa baadhi ya mifugo ya wafugaji wa Kijiji cha Mlazo, Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Hezron Nonga amesema, uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa sindano zilizotumika zilikuwa ndefu na kwamba mifugo ilipaswa kuchomwa chini ya ngozi maeneo ya shingoni ambapo kuna ngozi nene na siyo kwenye mguu ambapo ngozi yake ni nyembamba kwa kuwa chanjo hiyo haipaswi kugusa nyama.

MKURUGENZI wa Huduma za Mifugo kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Hezron Nonga

Prof. Nonga amefafanua kuwa chanjo hiyo imeelekeza kuwa endapo ikiingia ndani ya nyama inasababisha nyama kuharibika kwa kuwa inaua seli za mwili kama ambavyo imefanyika kwa baadhi ya mifugo kupata uvimbe, majipu na usaha maeneo ambayo imechomwa chanjo.

Baadhi ya wafugaji waliopata fursa ya kuzungumza katika kikao hicho na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki wamesema zoezi la chanjo lililofanywa katika Kijiji chao cha Mlazo Tarehe 19 Mwezi Julai Mwaka 2021 halikuwa shirikishwaji kwa kuwa hapakutolewa elimu yoyote juu ya chanjo hiyo na kwamba walikuwa wakitozwa faini na kutishiwa na viongozi wa kijiji.

Pia wamelalamikia kitendo cha kutokuwepo kwa ushirikiano kati ya viongozi wa kijiji na wananchi kwa kuwa walikuwa wakichangisha fedha kwa ajili ya chanjo na hata baada ya mifugo yao kupata madhara hakuna msaada wowote ambao wamepata kutoka kwa viongozi wao, ambao hawakushiriki pia katika kikao cha Waziri Ndaki na hata walipotafutwa hawakujulikana walipo.

Pia wamesikitishwa licha ya kutopata msaada juu ya madhara waliyopata kwa mifugo yao, bado walikuwa wamearifiwa kuwa chanjo hiyo itatolewa tena Tarehe 15 Mwezi Septemba mwaka huu, huku wakihofia kuendelea kupoteza mifugo kwa kufa na mingine kupata madhara mbalimbali, ambapo tayari Waziri Ndaki ametoa maelekezo ya kutofanyika chanjo yoyote katika kijiji hicho hadi elimu zaidi itolewe na kuagiza wataalamu waliotoa chanjo awali kutafutwa pamoja na Kampuni ya Agristeps Limited iliyoingia mkataba na Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino na kufikishwa kwa Baraza la Veterinari Tanzania kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Na Mwandishi Wetu

admin

admin

Stay Connected test

  • 138 Follower
  • 205k Subscriber
  • 23.9k Follower
  • 99 Subscriber
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

MADAKTARI WAELEZEA JINSI YA KUZUIA MIMBA ISIHARIBIKE

July 9, 2021
BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

BREAKING NEWS: RATIBA LIGI KUU NBC MSIMU WA 2023/2024 HII HAPA

August 7, 2023
TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

TABWA YAMSIFU SAMIA KUWAPA FURSA WANAWAKE

July 9, 2021
BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

BEI MPYA YA MBAAZI, KUNDE YAWAPANDISHA MZUKA WAKULIMA

August 9, 2021
NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

NDUGU MATATANI KUMSHAMBULIA, KUMJERUHI MWENZAO KISA NG’OMBE

0
WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

WAHANDISI WA HALMASHAURI WAMEKUA WAKIIKOSEA SERIKALI KWAKUTOA TAARIFA ZA UONGO

0

OFISA ELIMU, MHANDISI, MKUU WA SHULE WAKALIA ‘KUTI KAVU’

0
STENDI YA ZAMANI UBUNGO  KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

STENDI YA ZAMANI UBUNGO KUJENGWA DEPO MABASI MWENDOKASI

0

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 12, 2024

November 12, 2024
YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

YALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 11, 2024

November 11, 2024

Recent News

Instagram Youtube Twitter Facebook

We are a diverse team of experts, innovative thinkers, creative designers, writers, innovators, strategists, pyschologists, comunictaors and web developers. UMG is extremely passionate about growing clients’ businesses, helping them achieve their goals and making a difference by raising the creative and communications industry standards in Tanzania.

Follow Us

Browse by Category

  • 231
  • Afya Makala
  • BIASHARA
  • BURUDANI
  • Business
  • HABARI KIMATAIFA
  • Habari Kitaifa
  • Habari Picha
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI
  • MAHAKAMANI
  • MAKALA
  • MAKALA AFYA
  • MAKALA-BURUDANI
  • MICHEZO
  • MICHEZO KIMATAIFA
  • MICHEZO KITAIFA
  • MICHEZO-MAKALA
  • MICHEZO-MASUMBWI
  • MITINDO
  • RIWAYA
  • SIASA
  • Sports
  • Uncategorized

Recent News

Exploring Herbal Viagra Alternatives: Natural Solutions for Men’s Health

May 23, 2025
TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

TALIYOJIRI KATIKA GAZETI LA UELEKEO LEO NOVEMBA 20, 2024

November 20, 2024

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

No Result
View All Result

© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved

Login to your account below

Forgotten Password?

Fill the forms bellow to register

All fields are required. Log In

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In