UJUMBE ‘AMKA UMEZE P2’ WAMUIBUA WAZIRI UMMY
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amekemea matumizi holela ya vidonge vya kuzuia mimba aina ya P2 na kueleza madhara yake...
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amekemea matumizi holela ya vidonge vya kuzuia mimba aina ya P2 na kueleza madhara yake...
CHAMA cha Wafanyakazi Watafiti, Wanataaluma na washirika katika nyanja hizo (RAAWU), kimeipongeza serikali kwa kuyafungulia magazeti manne yaliyofungwa kwa kukiuka...
SIKU moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan, kukamilisha ziara yake nchini Ufaransa, wataalamu mbalimbali wa masuala ya uchumi wa...
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Francis Michael, ameitaka Makumbusho ya Taifa kutumia fedha za miradi inayofadhiliwa...
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Twaha Kiduku, amesaini mkataba wa kupanda ulingoni kuzichapa dhidi ya Alex Kabangu kutoka DR...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, imeridhika na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Makao Makuu ya...
DEREVA wa Kampuni inayojihusisha na usafirishaji wa mizigo mbalimbali (CRC) Wilfrerd Mnyenyerwa, amehukumiwa kifungo cha miezi 40 jela baada ya...
KUKOSEKANA elimu sahihi ya afya ya uzazi na matumizi ya dawa za mitishamba za kuongeza uchungu kwa wajawazito mkoani Shinyanga,...
SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amesema katika uongozi wake amedhamiria kuufanya mhimili huo kuwa daraja baina ya serikali na...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali inaangalia utaratibu utakaofaa kuhusu suala la uhifadhi katika eneo la Loliondo lililopo katika Wilaya...
© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved
© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved