MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini, Inspekta Jenerali Simon Sirro, ameagiza zifanyike operesheni za kuwakamata wahalifu nchini wanaotumia pikipiki kupora...
Read moreBENKI ya Dunia (WB), imetangaza kupungua kwa kiwango cha umasikini nchini kutoka asilimia 27.1 mwaka 2020 hadi asilimia 27.0 mwaka...
Read moreMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk.Ali Mohamed Shein, amewataka wanachama wa CCM, kutofanya makosa ya kuwachagua viongozi...
Read moreRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema wameamua kufanya mazungumzo na wamiliki wa...
Read moreWAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema Tanzania itaendelea kuunga mkono na kuimarisha ushirikiano uliopo na Umoja wa Afrika, hasa katika kuzingatia...
Read moreWAZIRI wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu, Dk.Dorothy Gwajima, amezitaka kamati za Ulinzi wa Wanawake na Watoto...
Read moreWATU watatu wamekamatwa wilayani Magu, Mkoa wa Mwanza, wakidaiwa kuvamia makaburi ya wilayani humo, kubomoa na kuiba. Mkuu wa Wilaya...
Read moreBUNGE la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), limeshindwa kuendelea na vikao vyake kwa madai ya kukosekana uwakilishi wa mawaziri wa...
Read moreMCHUNGAJI wa Kanisa la Zumaridi, Diana Bundala (39) maarufu kama ‘Mungu’ Zumaridi Mfalme, anashikiliwa na polisi mjini Mwanza, kwa kosa...
Read moreRAIS Samia Suluhu Hassan, ameshuhudia utiaji saini hati za makubaliano ya mikataba 36 yenye thamani ya zaidi ya sh. trilioni...
Read more© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved
© 2020 Uhuru Media Group. All rights reserved